Karibu kwenye Mfumo Rasmi wa Taarifa na Usimamizi wa Shule
Usajili kamili wa taarifa za wanafunzi, kupanga madarasa, na kuhifadhi kumbukumbu za nidhamu na masomo yao.
Uingizaji rahisi wa alama za mitihani kwa walimu, ukokotoaji wa wastani, na uchapishaji wa fomu za ripoti (Report Cards).
Wazazi wanapata fursa ya kuangalia maendeleo na alama za watoto wao wakiwa nyumbani kwa kutumia namba ya usajili na simu.
Hakuna taarifa za kila siku zilizochapishwa kwa sasa.
Hakuna taarifa za muda mrefu au ziara kwa sasa.